Pages

Tuesday, April 30, 2013

NEW VIDEO : Ray J - I HIT IT FIRST ...

Ile ngoma iliyozua utata ambayo inatizamwa kuwa inamuhusu mwanadada KIM KARDASHIAN ikijulikana kama I HIT IT FIRST video yake imetoka ... Ni ngoma ya mwanamuziki RAY J ... Icheck video yake hapa chini :

Bob Junior - KIMBIJI ...


Ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Bob Junior ikijulikana kama KIMBIJI ...SHAROBARO PREZIDENT ambae mpaka sasa bado yupo ziarani barani Ulaya ameachia ngoma hiyo ambayo ilitangulia na TEASER AUDIO ...
Sikiliza na download Bob Junior's KIMBIJI hii hapa chini..

Monday, April 29, 2013

PICHA ZA SHOW KALI ALIYO PIGA DIAMOND HUKO UINGEREZA ZIKO HAPA.

DIAMOND NA WASAFI NDANI YA THE SPORAH SHOW UK, CLICK HAPA KUMCHEKI


Leo hii, baada ya kupia show kadhaa ndani ya London, UK, Diamond alipata nafasi ya kufanya mahojiano na kipindi cha TV cha "The Sporah Show"



Diamond akiwa na dancers wake "Wasafi" ndani ya UK

Fast and Furious 6 trailer unites old characters with new

Nicki Minaj - High School ft. Lil Wayne

Madee - Pombe yangu

KITENDO CHA WANAWAKE KUNYONYANA NDIMI HUKU WAKIWA NUSU UCHI KIMEMFANYA PREZZO AIPITIE UPYA VIDEO YAKE



Inaonekana baadhi ya vituo vya runinga nchini Afrika Kusini, zikiwemo Channel O na Soundcity zimetaka video mpya ya Prezzo, Liqher ifanyiwe marekebisho kadhaa ili vianze kuicheza. Prezzo 5Hiyo ni kwa mujibu wa mawasiliano kwenye mtandao wa Twitter kati ya msichana aitwaye Tricia Stever anayetumia jina GOLDIE 4EVER GOLDEN aliyetaka kufahamu kwanini video hiyo haioni ikichezwa kwenye vituo hivyo.

“Pls y is d video for #liqher not being shown on soundcity, channel o n other music channels @amb_prezzo #justcurious,” aliuliza msichana huyo jana.
Prezzo akiwa kwenye jacuzzi
Prezzo akiwa kwenye jacuzzi
Wanawake wakionesha vitendo vya usagaji
Wanawake wakionesha vitendo vya usagaji
Wanawake wakinyonyana ndimi kwenye video hiyo
Wanawake wakinyonyana ndimi kwenye video hiyo
Prezzo 5
Prezzo alijibu, “Working on it, had 2 make sme changes……if u know wht I mean.”

“Yeah i understand but pls try n hasten it up, cos dat video is dope n d whole of africa need to watch it,” alitweet Tricia.
prezzo 2
prezzo 3
Prezzo 4
Video ya Liqher inamuonesha Prezzo katika baadhi ya scenes akiwa kwenye Jacuzzi na wasichana walio nusu utupu na wengine wakinyonyana ndimi.

 Katika sehemu zingine anaonekana msichana mrembo akijig’ata vidole vyake kimahaba na hivyo kuamsha hisia kali .

ASKARI MWANAUME ABAKWA NA WANAWAKE WANNE BAADA YA KUTEKWA



Askari mmoja mwanaume anadaiwa kutekwa kisha kudhalilishwa kijinsia na wanawake wanne kwa karibu wiki moja kabla ya kupigwa mawe na kutupwa katikati ya milima.

Mateso ya muathirika huyo mwenye miaka 25 yalianza pale alipopata lifti ya gari kuelekea mji wa Mutare nchini Zimbabwe.
Wanawake wawili na mwanaume mmoja walikuwa kwenye gari, Mercedes Benz, na, baada ya kuendesha kwa takribani saa moja kuelekea mji huo, dereva wa gari hilo akabadili mwelekeo wa safari hiyo.
Ndipo muathirika huyo akalalamika, alitishiwa kwa kisu.
Msemaji wa polisi wa Manicaland, Inspekta Msaidizi Nuzondiwa Clean, alieleza: "Baada ya kubadilishwa mwelekeo huo, mlalamikaji alihoji wapi walikokuwa wakielekea na walimweleza walikuwa wakienda kupata chakula.
 
"Askari huyo alitaka kushushwa, lakini dereva huyo akatoa kisu na kumtishia nacho. Mmoja wa abiria wanawake akamfunga kwa kitambaa cheusi machoni mtuhumiwa huyo."
 Kwa mujibu wa Nuzondiwa,watesi  hao  walimpeleka mlalamikaji kwenye nyumba isiyojulikana ambako walimvua nguo zote na kumpora simu yake na Dola za marekani 35.
 Watuhumiwa walimwamuru mtu huyo kulala na mmoja wa wanawake hao katika matukio kadhaa na alishikiliwa kati ya Aprili 19-23.
 
 Kisha akafungwa tena kitambaa machoni na kushushwa kwenye Milima ya Dangamvura ambako, kwa mujibu wa polisi, alipigwa mawe katika mguu wake wa kushoto, na kumsababishia majeraha makubwa.
 Watuhumiwa hao kisha wakawasha gari lao na kutokomea kusikojulikana.Askari huyo alitoa taarifa Kituo cha Polisi cha Sakubva

ziro99

PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA

KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa kufumaniwa na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu

Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi  Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu’ akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.

Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!


Habari zinadai siku ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.


“Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao,” kilidai chanzo.

Father Ngowi akijaribu kuomba samahani baada ya kufumaniwa.

Chanzo kikaendelea kudai kwamba baada ya kuona mkewe amejikita kwa mtumishi wa Mungu, mumewe alinyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.

Chanzo: Sasa siku hiyo baada ya ndugu wa mume kumfuatilia mpaka anaingia kwa Father Ngowi, wakaona ni bora watafute mpigapicha ili kupata picha za tukio ambazo zitakuwa ushahidi siku za mbele.


“Walipompata wakazama ndani, sekeseke likaanzia hapo. Walimkuta mwanamke huyo na mtumishi wa Mungu wapo kitandani.”

 
Father Ngowi na Mama P wakivaa nguo zao kwa aibu baada ya kufumaniwa.

Habari zinadai kwamba kufuatia tukio hilo, tayari Kanisa Katoliki limemweka kitimoto padri huyo ambaye alikuwa akihudumu katika Parokia ya Korongoni, Moshi Vijijini kabla ya kuhamishwa na kupelekwa Parokia ya Makomu, Marangu ambako inadaiwa ameshushwa cheo.


Inadaiwa kuwa baada ya tukio hilo, Father Ngowi alikana kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake lakini alipobanwa sana na mabosi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Moshi, alikiri na kudai ibilisi alimpitia na kuomba kanisa limsamehe na kutompa adhabu kali ambayo itamuathiri kisaikolojia.


Hili ni tukio kubwa na la aina yake kuwahi kulikumba Kanisa Katoliki nchini kwa padri wake kudaiwa kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake!

Father Ngowi na Mama P wakiwa na nyuso za aibu baada ya tukio hilo.

Kuna madai kwamba mwaka jana (2012), Father Ngowi, mbele ya waumini wake alisoma barua yenye kukana shutuma zote zilizoelekezwa kwake kwamba amekuwa na ukaribu wenye maswali mengi na wake za watu.


Taarifa zilidai kuwa padri huyo aliweka wazi akisema si kweli kwamba amekuwa na ukaribu unaotajwa, akawataka waumini wake wapuuze tuhuma hizo alizosema  zina mwelekeo wa kuchafua sifa yake na taswira ya Kanisa Katoliki kwa jumla.


Hayo ni madai ya vyanzo vyetu ambavyo viliambatanisha na picha mbalimbali za tukio hilo lenye kushtua waumini sambamba na namba za simu za padri huyo kwa ajili ya mawasiliano ili kujiridhisha.

 Father Ngowi akipatiwa suruali yake.

Mwanamuziki CHEGE CHIGUNDA Akiwa Nchini Sweden ...

CHEGE yuko nchini SWEDEN ambako ana show huko ... We'll let you know more kuhusu atakachokuwa akiendelea kukifanya huko ..

PHOTOS : Baba Yake Chris Brown Atoa Sababu Ya Kutokutaka Chris Brown Na Rihanna Kurudiana ... Check Picha Hizi Hapa ..


Baba wa msanii maarufu nchini Marekani na duniani, CHRIS BROWN hivi karibuni ameonekana kukerwa na picha za girlfriend wa mwanae, yaani RIHANNA na kusema kuwa hii ni moja ya sababu hakupenda mwanadada huyu kurudiana na mwanae ...
CLINTON BROWN amefunguka na kusema tabia ya RIHANNA kuonekana anakunywa na kuparty si sawa na anaona ni afadhali wasingerudiana ... This wouldn't turn back RIHANNA as hivi karibuni aliendelea kuweka picha katika ukurasa wake wa Instagram kama inavyoonekana hapo juu na hapa chini pia ...
Muonekano huu wa RIHANNA akiwa analewa katika mazingira kama haya, yalimsababisha CLINTON BROWN kuona kuwa msichana huyu hamfai mwanae na pia akazungumza na kusema mwanae anastahili kuwa na msichana mrembo na mtulivu kama JORDIN SPARKS na kuongeza kuwa ni mzuri sana ...

PHOTOS : NBA LEGEND, Michael Jordan Afunga Ndoa Na Yvette Prieto ...


Mkongwe wa mpira wa kikapu nchini Marekani, MICHAEL JORDAN ... amefunga ndoa weekend hii iliyoisha ... Michaelamefunga ndoa hiyo huko WEST PALM BEACH Marekani na mwanadada Yvette Prieto katika sherehe iliyohuzuriwa na watu maarufu sana ...
Michael Jordan Na Mkewe Yvette Prieto ... Walikuwa wachumba wa muda mrefu ...
Hili ndio Kanisa ambalo ndoa ilifungwa ...
TIGER WOODS Na AHMAD RASHAD ...
DELORIS PEOPLES, Mama wa Michael Jordan ...
SCOTTIE PIPPEN, aliwahi kucheza CHICAGO BULLS na Michael Jordan, hapa akiwa na Mkewe ...
Patrick Ewing, NY Knicks ..

Sunday, April 28, 2013

AY Kuachia "JIPE SHAVU" Jumatano Hii ... Check Alieshirikishwa ...


!!! YEEESAYAAH !!!
Mwanamuziki kutoka Tanzania, Ambwene Yessayah a.k.a AY au pia unawweza kumuita "Zee La Commercial" anataraji kuachia ngoma yake nyingine hivi karibuni ...
AY ambae bado machoni mwako anafanya vizuri na video SPEAK WITH YA BODY, PARTY ZONE na MONEY zinazopigwa katika televisheni kubwa duniani kama Channel O na TRACE TV yaUfaransa soon anaachia JIWE hilo litakalofahamika kama JIPE SHAVU ...
JIPE SHAVU is the next single from AY akiwa amemshirikisha mshkaji wake wa karibu akijulikana Fid Q [that Illest Hip-Hop dude from MWANZA City] ...
Hapa "Zee La Commercial" na hapa pembeni ni "Zee La Hardcore" ... JIPE SHAVU ...
Dundo hilo according to AY, limefanywa na Producer Q ikiwa ni katika studio za MPO AFRICA zilizopo maeneo ya mikocheni ...
AY anasema ngoma hiyo itaachiwa rasmi jumatano hii katika sehemu tofauti ... As to fans wakae tayari kupokea kazi nyingine bora kabisa kutoka kwake ...
AY na rapper Fid Q waliwahi kufanya ngoma mbali mbali nzuri za pamoja ikiwemo USIJARIBU yenye video yake pia ...
Let's wait for JIPE SHAVU afu tuone ...

ROMA Anawaandalia Nini FANS Wake ???


ROMA Mkatoliki ana show huko GEITA Kanda Ya Ziwa TANZANIA kwa sasa, akiwa njiani anakumbushia mstari wake wa "Kamanga hawaweki lami ili tuvukie busisi !!" uliopo katika ngoma yake ya 2030 na kuwaahidi fans hiki hapa chini :
ROMA ameona nini ?? Je, anaandaa ngoma nyingine???

PHOTO : Check Picha Ya BABA Na MTOTO Wa Kiume Wa SNOOP DOGG ...

Kushoto ni Lil SNOOP DOGG na Kulia ni Baba Yake Na Rapper SNOOP DOGG ...

PHOTOS : Concert Kubwa Ya BADILISHA Iliyofanyika Jijini Kampala, UGANDA ... Check Maandalizi Yake ...


Stage ikifungwa ...
Mapokezi Ya Profesa Jay ... [TANZANIA]
Fans wakiwasili ...
Sitting Arrangements katika show ...
Mke Wa Mwanamuziki JOSE CHAMELEONE [wa pili kutoka kushoto] ... She was there to support ...
Watu wakisubiria show ...
BADILISHA ni show kubwa ya muziki iliyoandaliwa huko Kampala, nchini UGANDA ikihusisha wasanii mbalimbali wakubwa kutoka Afrika Mashariki... Mfano: Prof. Jay [TANZANIA] Redsan [KENYA] Massama [RWANDA] na wengineo ...