Hii ni track mpya kutoka kwa msanii Kitale ambayo amemshirikisha marehemu Sharo Milionea wakati wa uhai wake, ngoma inaitwa ''Midezo Hili Toto''.
Kitale pia ni msanii wa maigizo akiwa upande wa uchekeshaji zaidi akijipatia umaarufu kupitia sauti na muonekano wake wa kiteja...http://hu.lk/19uzg90vqw08

