It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.
Pages
▼
Wednesday, February 27, 2013
ILE VIDEO YA WIZKID – AZONTO NDIO HII
Ni mkali wa Nigeria ambae amekuwemo kwenye headlines kwa kipindi kirefu kidogo sasa hivi kutokana na stori zake za kuachana na lebo iliyokua inamsimamia na kuanzisha lebo yake mwenyewe,pamoja na hayo… mpaka sasa sijaelewa ile dili yake ya kuwa chini ya Akon iliishia wapi lakini kwa sababu connection yangu ni nzuri na wakali wa Nigeria, nitaifanyia kazi hii ishu.