Taji la Redd's Miss Tanzania ambalo linashikiliwa na mrembo Brigitte Alfred leo ametoa zawadi za Valentine kwa watu mbalimbali jijini Dar es salaam.
Mrembo huyo amewakabidhi zawadi hizo baadhi ya watu akiwemo mwanamitindo Bi. Khadija Mwanamboka, Bw. Ephraim Kibonde [Mtangazaji wa CLOUDS FM] na wengine wengi.