It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.
Pages
▼
Wednesday, February 20, 2013
Wema Sepetu Atambulisha Ofisi Yake Ya ''EndLess Fame Film''...
Msanii wa filamu hapa nchini maarufu kamaWema Sepetu,siku ya leo ndio ametambulisha rasmi ofisi yake yaEndeless Fame Filmambayo aliitangaza hapo nyuma kuwa atatarajia kuanzisha ofisi hiyo.
Wema ameitambulisha ofisi hiyo leo kwa baadhi ya waandishi wa habari pamoja na wasanii wenzake na kusema kuwa ofisi hiyo itaanza kufanya kazi rasmi mwezi wa tatu mwaka huu.