It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.
Pages
▼
Tuesday, March 5, 2013
Brand New: Nelly - ''Porsche''...
Check video mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki maarufu Marekani,Nelly ambae hapo nyuma alikuwa akifanya vizuri sana na baadhi ya track zake kama Dilema, Ride With Me, Hot In Here, Just A Dream na nyinginezo.
Ngoma yake hiyo mpya ambayo inakwenda kwa jina la ''PORSCHE'' sasa imetoka, siku za nyuma tulikuonesha hapa hapa behind the scene ya utengenezaji wa video hiyo.