It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.
Pages
▼
Thursday, March 14, 2013
New: Kelly Rowland ''KISSES DOWN LOW''...
Mwanamuziki nyota kutoka nchini Marekani,Kelly Rowland ambae amekuwa kimya toka atoe Ice ambayo amemshirikisha rapper Lil Wayne sasa amerudi tena na ngoma yake inayokwenda kwa jina la ''Kisses Down Low''ambayo ameiachia masaa machache yaliyopita.
Kelly pia yuko katika matayarisho ya album yake ya nne ambayo anatarajia kuachia mwaka huu ambayo itakwenda kwa jina la ''Talk A Good Game''