Ikiwa bado uchaguzi unaendelea katika sehemu tofauti za nchini humo, haya ni matokeo ya awali ya uchaguzi Mkuunchini Kenya yanayoonyesha kuwa Uhuru Kenyatta, Mtoto wa Raisi wa kwanza wa nchi hiyo Bw. Jomo Kenyatta [R.I.P], ndiye anaeongoza matokeo hayo kwa kura 1,621,410 ambayo ni sawa na asilimia (54.78%).It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.
Pages
▼
Tuesday, March 5, 2013
Uchaguzi Mkuu Kenya: Uhuru Kenyatta Aongoza Dhidi Ya Raila Odinga...
Ikiwa bado uchaguzi unaendelea katika sehemu tofauti za nchini humo, haya ni matokeo ya awali ya uchaguzi Mkuunchini Kenya yanayoonyesha kuwa Uhuru Kenyatta, Mtoto wa Raisi wa kwanza wa nchi hiyo Bw. Jomo Kenyatta [R.I.P], ndiye anaeongoza matokeo hayo kwa kura 1,621,410 ambayo ni sawa na asilimia (54.78%).