Ikiwa bado uchaguzi unaendelea katika sehemu tofauti za nchini humo, haya ni matokeo ya awali ya uchaguzi Mkuunchini Kenya yanayoonyesha kuwa Uhuru Kenyatta, Mtoto wa Raisi wa kwanza wa nchi hiyo Bw. Jomo Kenyatta [R.I.P], ndiye anaeongoza matokeo hayo kwa kura 1,621,410 ambayo ni sawa na asilimia (54.78%).
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V
-
*1. VOA Sauti ya America *
www.voaswahili.com
*2. Vijimambo*
lukemusicfactory.blogspot.com
9 months ago

