Pages

Friday, July 19, 2013

Range Rover Evoque Convertible Destined For Production: Report


Range Rover's Evoque Cabriolet is reportedly bound for a production debut, nearly two years on from its Geneva Motor Show unveiling.
A Land Rover insider is understood to have confirmed with Britain’s What Car? that the Evoque convertible has been given the green light for a 2014 launch.
“The Evoque Convertible now has the green light, it’s going to be built,” the source said.
The report comes despite whispers earlier this year that suggested full-scale production of the open-topped SUV had been ruled out.
New reports claim the production version will retain much of the concept’s features, including a three-door body style and a folding fabric roof instead of metal.
Engines choices are also believed to mirror the regular Evoque range, with both petrol and diesel options to be made available in the convertible.
As far as medium convertible SUVs go, the Range Rover Evoque would be the only model on the market, at least in Australia.
As such, Land Rover will likely target customers for the likes of Audi’s TT Convertible and the open-topped BMW 3 Series.
Speaking of Australia, no word yet on whether a Range Rover Evoque Convertible would be offered for sale here.

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YA BASI YAUA WANNE MJINI DODOMA




Picha na Maktaba 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Najmunisa linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali eneo la Mbande mkoani Dodoma na kuua watu wanne na kujer
uhi abiria kadhaa. Basi hilo lililokuwa linaelekea Mwanza lilipata ajali hiyo baada ya kupasuka tairi la mbele. Mashuhuda wa tukio hilo wanadai kuwa mali zote za abiria ziko salama kutokana na uwepo wa Check Point ya polisi jirani na eneo la ajali. Chanzo: Radio One

JACKLINE WOLPER AKILI AFYA YAKE INACHUNGULIA MAUTI MUDA WOWOTE



STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameeleza kuwa, tatizo alilonalo la presha ya kushuka huenda siku moja likawa chanzo cha kifo chake kwani linapomjia, huwa katika hali mbaya sana.
Akizungumza hivi karibuni Wolper alisema, tatizo hilo amekuwa nalo kwa muda mrefu na kufikia hatua ya kwenda kutibiwa nchini Afrika Kusini likapungua lakini sasa limerejea na linamkosesha amani.
“Kwa kweli hili tatizo la presha ya kushuka nililonalo ipo siku litaniondoa duniani, unajua wakati mwingine hali hiyo ikinijia natokwa na damu nyingi puani, huoni ni tatizo kubwa hili!” alisema Wolper.

Wananchi, makampuni yaja juu kuhusu cover ya jarida la RollingStones




wananchi, wasomaji pamoja na wauzaji wa rejareja wa jarida la Rollingstone, wameshangazwa na kuchukizwa na hata kufikia kusema kuwa ni sawa na kutusiwa na cover jipya la jarida hilo linalotarajiwa kutoka mwezi wa nane, ambalo limepambwa na sura ya kijana aliesababisha mauaji ya Boston Marathon,"Dzhokhar Tsarnaev"
cover hiyo yenye picha nzuuri ya mtuhumiwa huyo ilikuwa na maneno haya.

"THE BOMBER, "How a popular, promising student was failed by his family, fell into radical Islam and became a monster.
malalamiko ya kitendo cha jarida hilo kumpamba muuaji huyo wa mabomu ya boston ambayo yaliua watu watatu, kujeruhi zaidi ya 200 pamoja na ofisa wa polisi mmoja, yalianza kusambaa kupitia mitandao ya kijamii, facebook pamoja na twitter.
Baada ya malalamiko hayo kuenea, maduka maarufu yanayouza  majarida hayo yametangaza kugoma kuuza jarida hilo, duka la madawa nchini marekani  CVS limetangaza mgomo wa kutokuweka jarida hilo kwa ajili ya kuuza na kuungwa mkono na makampuni mengine makubwa kama Walgreens, duka la glosaries lililopo New England "Stop and Shop", pamoja na Tadesch food shop
kikubwa kinacholalamikiwa ni cover hiyo kuwa na picha ya muuaji wa mabomu, na picha kumuonyesha kama ni innocent na kudai kuwa hakustahili kuwa kwenye cover ya jarida hilo.
licha ya malalaniko hayo, wako waliounga mkono gazeti hilo na kusema kuwa, picha haimaanishi itamfanya muuaji awe ni mtu mzuri, bali kilichoandikwa, na kilichaandikwa na RollingStone ni maisha aliyokuwa akiishi kijana huyo na kilichompelekea mpaka kuwa monster, kitu ambacho ni kizuri kwa watu kuelewa na ni kazi kubwa iliyofanywa na jarida hilo kupata information zote hizo