Pages

Friday, July 19, 2013

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YA BASI YAUA WANNE MJINI DODOMA




Picha na Maktaba 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba basi la Najmunisa linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limepata ajali eneo la Mbande mkoani Dodoma na kuua watu wanne na kujer
uhi abiria kadhaa. Basi hilo lililokuwa linaelekea Mwanza lilipata ajali hiyo baada ya kupasuka tairi la mbele. Mashuhuda wa tukio hilo wanadai kuwa mali zote za abiria ziko salama kutokana na uwepo wa Check Point ya polisi jirani na eneo la ajali. Chanzo: Radio One