It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.
Pages
Tuesday, July 2, 2013
FEZA KESSY AENDEKEZA TABIA YA KUPIGWA DENDA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
Mshiriki wa Botswana, Oneal ameendeleea kuyafaidi mate ya dada yetu ambapo wakati huu jamaa huyo aliamua kupiga magoti wakati akimwaga "sera za nguvu" kwa Feza na kumwambia kuwa maisha yake yalikuwa shagala bagala kabla hajakutana na mwakilishi huyo wa Tanzania. Maneno hayo matamu yalimwingia vyema Feza ambaye alikuwa akitabasamu muda wote kuashiria upendo mzito kwa jamaa huyo wa Botswana ambaye anataka wawe na maisha pamoja siku za usoni. Washiriki wengine waliamka na kuwashangalia wapenzi hao kama yalivyo maisha ya kawaida.
Muda mfupi baadaye, Feza na Oneal walianza kubadilishana mate na ndimi...!!!!!!!
Kesi ya Zumaridi yapangiwa hakimu mpya
-
Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la jinai namba
12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wenzake
83 bad...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...