Pages

Tuesday, April 30, 2013

NEW VIDEO : Ray J - I HIT IT FIRST ...

Ile ngoma iliyozua utata ambayo inatizamwa kuwa inamuhusu mwanadada KIM KARDASHIAN ikijulikana kama I HIT IT FIRST video yake imetoka ... Ni ngoma ya mwanamuziki RAY J ... Icheck video yake hapa chini :

Bob Junior - KIMBIJI ...


Ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Bob Junior ikijulikana kama KIMBIJI ...SHAROBARO PREZIDENT ambae mpaka sasa bado yupo ziarani barani Ulaya ameachia ngoma hiyo ambayo ilitangulia na TEASER AUDIO ...
Sikiliza na download Bob Junior's KIMBIJI hii hapa chini..