Pages

Thursday, March 14, 2013

Brand New: Gill ft. Matonya - Nitafanya Nini...

Huu ni wimbo mpya kutoka kwa mwanamuziki wa kizazi kipya akifahamika kwa jina la Gill anakuja na ngoma yake inaitwa''Nitafanya Nini''.
Ndani ya ngoma hii, ameshirikishwa Matonya.
Sikiliza hapa chini ngoma yenyewe: