Stamina ni rapper kutoka MOROGORO anaetamba kwa sasa na ngoma yake ya WAZO LA LEO ambae amekuwa inspired kwa kiasi kikubwa na rapper Fid Q [MWANZA] ambae pia anafanya vyema kwa game hii for so long.... so now itsFATHER and SON.
LIKE FATHER, LIKE SON ni show itakayofanyika JUMAPILI hii ya Tarehe 17 mwezi huu ikishirikisha wasanii kadhaa like KALA JEREMIAH, DARASA, QUICK ROCKA na BABUU WA KITAA...
Come and enjoy michano mikali kutoka kwa wakali hawa wa HIP-HOP...