Pages

Friday, March 8, 2013

WAZAZI WA MTOTO HUYU WASHITAKIWA


Wazazi wa mtoto mmoja nchini Uingereza have been blasted baada ya kumpaka mtoto wao chocolate ili afanane na mchezaji wa zamani wa Manchester City Mario Balotelli.
Wazazi hao walimpaka mtoto huyo Chocolate mpaka kichwani wakitengeneza style ya kiduku ambayo pia inatumia na muitaliano Balotelli, then wakamvalisha tshirt iliyo na maandishi ya “Why Always Me?”.

Picha ya mtoto huyo imeleta maneno mengi sana baada ya kuwa posted on the internet na kuwa retweeted thousands of times.
Mtaalam wa malezi ya watoto alisema: “Unapoiangalia tu hii picha inakufanya ujihisi very uncomfortable, especially kwa kumfananisha mtoto na Balotelli kwa kumpaka chocolate nyeusi, sijapenda kabisa.”
Watu wengine kwenye Twitter wamekuwa wakilalamikia kitendo hiki kama aina nyingine ya ubaguzi, hasa baada ya hivi karibuni mtoto mwenye miaka 10 shabiki wa Leeds United kusababisha mtafaruku baada ya kujipaka rangi nyeusi akijifananisha na mchezaji wa timu yake El Hadji Diouf