Young Killer amelalamika kuibiwa kazi zake na na kupokea lawama za utapeli kupitia ukurasa feki wa mtandao wa kijamii wa Facebook si yeye anautumia, kuna mtu amefungua account fake hiyo ambayo ina jina la msanii huyo nakuanza kuutumia vibaya kwa kula pesa za watu, kutongoza wanawake na vingine vingiCheck alichokiandika Young Killer kupitia ukurasa wake halisi:
Huu ndio ukurasa feki wa Facebook uliotengenezwa na mtu asiyejulikana, ucheck hapa chini: