Pages

Wednesday, February 20, 2013

[AUDIO] Brand New: Jux - Niwe Nawe...


Mwanamuziki kutoka katika kundi la Wakacha, Jux sasa ametoa wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ''NIWE NAWE''.
Jux ambae kwa sasa yupo nchini China, hapo nyuma alifanya vizuri sana na baadhi ya ngoma zake kama Nimedata Nawe, Napata Raha, Kama Changu Nitapata na ile nyingine ambayo alishirikishwa na msanii mwenzie ambae pia yupo chini ya kundi hilo la Wakacha msanii Cyril na ngoma ambayo ilitamba kwa jina la Nafanya.
Unaweza kusikiliza na pia unaweza kudownload ngoma hii hapa chini...