
Baada ya kuzindua Kampuni yake ya Endless Fame Production...
Managing Director huyo Wema Sepetu ametoa nafasi za kazi kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kufanya kazi kiufanisi katika kampuni yake bila kuwa na ubaguzi wa aina yoyote ile....
Mawasiliano ni sim namba 0222761674