
NO BEEF ni moja ya ngoma za Ngwair tukiongelea Denja Vu Music, yeah DENJA VU MUSIC, its a new thing presented by Ngwair and its the beginning.... Ngwair in the store room.
Ni mpya ikiwa imepikwa na Joff Master, producer kutoka B Records... Kama unakumbuka vizuri JOFF MASTER ndiye producer aliyechapa "120" ya Ngwair akimshirikisha Chiddi Beenz enzi hizo ikiwa ni KAMA KAWA RECS.
This is the new joint itself, isikize na kui-download hapa chini: