Pages

Wednesday, February 20, 2013

[AUDIO] Brand New: Jose Mtambo ft. Pipi - Shut Up...


Hii ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa rapper Jose Mtambo kutoka Tongwe Records akiwa amemshirikisha mwanadada Pipi na ngoma inakwenda kwa jina la ''SHUT UP''.
Jos Mtambo ameshafanya kazi nyingi na TONGWE RECORDS na hii ikiwa ni nyingine, SHUT UP...
Unaweza kuisikiliza na kudownload hapa chini...