STAA wa  Bongo Movies, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa 
anatarajia kumuenzi marehemu kwa kuachia vipande vya filamu ya After 
Death ambayo ni mwendelezo wa filamu ambayo ilichezwa na marehemu Steven
 Kanumba, Uncle JJ.
“Ni filamu ambayo nimeiandaa katika mazingira maalum kwa ajili ya kumuenzi marehemu Kanumba ambaye kila Mtanzania anatambua mchango wake kwenye sanaa,” alisema Wolper.

 
 
 
 
 

 
 
 
