Dada
 Huyu Akiwa kwenye show ya Diamond alinyanyuka na kwenda kubusu kifua 
cha diamond,baada ya hapo alichezeya kichapo toka kwa jamaa yake baada 
ya kujisikia vibaya na hicho kitendo...

Binti huyo akilia baada ya kuvutwa na kuchezea kichapo kutoka kwa bwana wake
Binti alipokua kwenye show ya Diamond, uzalendo ulimshinda, akaenda kunyonya chuchu za diamond kama inavyoonekana pichani Kitendo hicho kilimuudhi bwana wake, ambapo alimvuta binti huyo na kumchapa makofi. Katika picha ya pili, binti huyo anaonekana akilia baada ya kuchezea kichapo, huku akiwa amewekwa “chemba” na boyfriend wake.
 
 
 
 
 

 
 
 
