Just A Band wameachia video yao mpya inayojulikana kama MATATIZO.
Moja ya nyimbo walizowahi kufanya Just A Band na watu kuzidi kuwaelewa vizuri ni ile ya ''Ha He'' ambayo walimshirikisha Makmende.
Cheki video ya ngoma hiyo hapa chini..
It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.