Mi Casa wanaofanya muziki aina ya HOUSEwalifanya poa sana pande za Mlimani City kwaLive Show kali sana iliyoshuhudiwa na fans wao mbali mbali walioweza kufika eneo hilo wakiwemo wasanii tofauti wa hapa Tanzania...
GongaMx ilikuwepo eneo la tukio kuchukua matukio tofauti ya yale yaliyokuwa yanaendelea maeneo hayo...
Mi Casa Music wanaofanya vizuri sana na ngoma zao, mfano ALL THE GLORY waliwarusha sana fans waliokuwemo eneo hilo hasa na pale mrembo/singer Vanessa Mdee alipowa-join on stage...
Check picha zaidi hapa chini:
More photos: