Video hiyo ambayo amemshirikisha mkali Ben Pol, iko tayari ataiachia kupitia kituo kikubwa cha televisheni Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza.
Ngoma hiyo mpya ambayo inafanya vizuri sana toka itoke imekuwa ni muendelezo mzuri wa Kala hasa baada ya kuachiaDEAR GOD miezi kadhaa iliyopita ambayo ilikuwa ngoma kali pia...
Keep it with TEEN BLOG SWAGG ili uweze kuwa wa kwanza kuona video hiyo kutoka kwa Kala.