Prezzo anatarajia kupiga show moja katika ukumbi disco wa New Maisha Club, Oysterbay jijini Dar.
Katika show hiyo Prezzo atasindikizwa na baadhi ya wasanii kutokaBongo kama kundi la Shosteez, Stereo, AY, MwanaFA na wengine wengi. Show hii inatarajia kufanyika tarehe 5 April mwaka huu.