Hemedy ambae amefanya vizuri na ngoma yake ya ''Going Crazy'' ambayo aliiachia miezi michache iliopita sasa yuko njiani kuachia single yake hiyo ya ''Rest Of My Life'' ikiwa ni mwanzoni kabisa mwa mwezi wa nne, yaani Tarehe 1mwaka huu.
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
2 weeks ago