Sasa habari kamili kutoka kwa rapper huyu ni kuwa hivi karibuni amepata shavu la kutokezea kwenye toleo lijalo la Jarida la Elle ambalo linatarajiwa kutoka March 18 mwaka huu.
Picha alizopiga kwenye jarida hilo zinamuonesha Minaj akiwa na uhalisia wake akiwa hajaweka make-ups zozote katika mwili wake...
Cheki baadhi ya picha alizokuwa akipiga kwa ajili ya jarida hilo:
_______________________________