Wiz ambae amekuwa akivaa converse mara kwa mara na pia kuonekana kuzipenda, Chuck Taylors wameonekana kurudisha fadhila kwa style hii kwa rapper Wiz Khalifa kwa deal ambayo Wiz amei-rank kuwa ni KUBWA...
Siku mbili nyuma, Wiz alitweet "Finally got my converse deal!!! Im f***in amped! I did an add for my boys but this sh** here is MAJOR," (@Wizkhalifa)
Sasa ni Taylor Gang na Chuck Taylors on this one... Trully MAJOR... Tuisubirie hii tuone!!