Tiwa hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya wa ''Without My Heart'', ambapo ndani ya wimbo huo amemshirikisha mwanamuziki kutokea nchini Nigeria akijulikana kama Don Jazzy.
Wimbo huu ni moja ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yake mpya ambayo iko mbioni kutoka.
Cheki video ya WITHOUT MY HEART hapa chini: