Kwenye ngoma hii, Masawe amemshirikisha mwanamuziki kutoka Victoria Band akijulikana kama January. Track hii imetengenezwa ndani ya studio ya NK Production chini ya Producer Chrixtone.
Sikiliza single yenyewe hapa chini:
It`s all about Entertainment across the global through Hit Music,Movie,Games,Photos,Fashion,.Stay in tunes all updates around the world.