Producer mkali kutoka FISH CRAB COOKOUTS maeneo ya KARIAKOO anasaka kundi la vijana wa kiume ... LAMARambae ndiye mmiliki wa studio hiyo ameshaunda kundi la wasichana linalofahamika kama SHOSTEEZ na sasa anataka la wavulana ...
LAMAR amekuwa na programme hiyo toka mwaka jana na sasa ametangaza hivyo kupitia kurasa zake tofauti za mitandao ya kijamii akisaka vipaji hivyo kwa ajili ya kuviendeleza ...
Check alichoandika hapa chini kupitia kura yake ya TWITTER ...