Pages

Friday, June 7, 2013

DIVA WA CLOUDS FM NAYE ATOA PICHA YA NUSU UCHI ILI KUMTEKA PREZZO ANAYEONEKANA KUHAMISHIA PENZI KWA HUDDAH


Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo mitandaoni, Diva  wa  clouds  fm ameamua kuweka picha yake ya NUSU UCHI   ili kupotezea  Aibu  hiyo..
"Love at the first sight  imekwishaimekwisha."....
Ulimpiga  KIBUTI   mbunge  mh. JEPESI , tena   kwa  mbwembwe, vijembe  na  kejeli  kibao  mtandaoni......

Leo  hii  jamii  inashuhudia  unavyoumbuka.Penzi  la  Huddah  na  Prezzo  lilikuwa  wazi  na  la  vitendo.....

Siku  moja  kabla  ya  kutolewa  katika  jumba  la  big brother, Huudah  aliweka  wazi  juu  ya  uhusiano  wake  na  Prezzo  huku akielezea  jinsi  alivyo  miss  kushikwa  shikwa...!!
Prezzo  na  mpenzi  wake....
Nani  alikurupuka  kati  yake  na  wewe???
Si  mbaya  sana, ENDELEA  KUWEKA  PICHA  ZA  UCHI, PENGINE  ATAHAMISHIA  PENZI  KWAKO

HUU NDO UTENGENEZAJI WA BIKRA FEKI....WANAUME MSIKUBALI KUIBIWA


WANAUME,kuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.

Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao wametumika kama Bajaj ,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.

Atajifanya descent na hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu.

Siku ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama anakeketwa,ukianza kuzama ndo kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....

Utasikia taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala.!!!

Mtu mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia Ndimu,mchanganyiko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe wala,umetegwa...


Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa dawa utagundua... Dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa mayai...


JIHADHARI  na hizi bikira za makuti!

NGONO ZAANZA KUTAWALA JUMBA LA BIG BROTHER.....VIDEO YA BOLT NA BETTY YANASWA WAKIFANYA NDANI YA JUMBA HILO


Mpaka sasa tayari tumeshuhudia couple 4 za housemates katika Big Brother ‘The chase’ , lakini couple ya mu Ethiopia Betty na mu Sierra Leon Bolt ndio ilikuwa ya kwanza kufahamika katika wiki ya kwanza toka mchezo uanze (May 26).

bolt & betty

Couple ya Bolt na Betty ndio ilikuwa ya kwanza pia ku’kiss kama uthibitisho wa ‘love at first sight’. Baada ya hapo maisha ya mjengoni yaliendelea vizuri huku mapenzi ya ‘love birds’ hawa yakizidi kukua kila kukicha japo waliamua kupeleka mambo taratibu.

Lakini wiki hii inaonekana kiu ya toka (May 26) iliwakaba ‘love birds’ hawa na kuamua kuikata kwa kufanya kile wanachofanya wapenzi wanapokuwa faragha (watu wazima naamini mnanielewa) yes , they did it! Bolt iliifunga nut ya Betty usiku wa manane wakati washiriki wenzao wakiwa wamelala!!


Ikiwa ni sehemu ya kujaribu kuyaokoa mapenzi yao, wiki hii baada ya Betty kutwaa ukuu wa Diamond House (HOH) aliweza kupata mamlaka ya kumuokoa mshiriki yeyote anayekuwa ameingia kikaangoni. 
Hivyo aliitumia nafasi hiyo kuliokoa penzi lake kwa kumuokoa Bolt ambaye alikuwa amependekezwa kuingia kikaangoni, na kumchagua Feza Kessy wa Tanzania aingie kikaangoni badala ya kipenzi chake.

PICHA ZA MAANDALIZI YA JUKWAA LA KILL MUSIC AWARDS......TUKIO LITARUSHWA LIVE MTANDAONI


Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao.

 Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. 

Hizi ni picha za jinsi maandalizi ya jukwaa na ukumbi yalipofikia.
IMG_0728
Mafundi wa TV itakayorusha matangazo live wakiweka sawa mitambo yao
IMG_0730
Sound check
IMG_0734
Hivi ndivyo maandalizi yanavyoendelea
IMG_0739
IMG_0750
Muonekano wa nje ya ukumbi
IMG_0718
Mafundi wakiziweka sawa cranes za camera

MPENZI WA ALBERT NGWEA AKILIA KWA UCHUNGU WAKATI WA MAZISHI


MAJONZI na vilio vilitawala juzi katika zoezi la kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’ kwenye Viwanja vya Leaders lakini mmoja wa waliotia fora katika kuangua kilio alikuwa dada mmoja mzungu anayedaiwa kuwa alikuwa Mpenzi wa Ngwea aitwaye Misheily.


Mzungu huyo alionekana akilia kwa uchungu huku akitoa maneno yaliyoashiria kuwa ameumia sana kuondokewa na ‘mtu’ wake huyo ambaye huenda walikuwa na malengo mazuri ya baadaye.

Aidha, kilio alichokuwa akiporomosha binti huyo kiliwafanya watu waliokuwa karibu naye kumsikitikia na kuzidishiwa majonzi kwani ilifika wakati akaishiwa nguvu.


Mwandishi wetu alijaribu kumfuata na kumuomba kuzungumzia juu ya kifo cha Ngwea lakini alikataa na kusema asingeweza kufanya hivyo kufuatia majonzi aliyokuwanayo huku akionekana kutoamini kama jamaa yake huyo ametutoka

MTANGAZAJI WA TIMES FM ( KHADIJA SHAIBU) AJIANIKA "AKIKATA GOGO " CHOONI


MTANGAZAJI wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amewashangaza watu baada ya kutundika mtandaoni picha zinazomuonesha akioga bafuni huku nyingine akiwa chooni  akikata  gogo.
Picha hizo zinapatikana kwenye mtandao wake na hakueleza ilikuwa wapi ila akasema ilikuwa ni siku alipoamua kuitumia wikiendi yake ipasavyo katika hoteli ambayo hakuitaja jina.
 
Baadhi ya watu waliyoziona picha hizo walimponda wakidai eti ni ulimbukeni lakini wapo waliomtetea kwa kusema, ni staili tu ya maisha aliyoamua kuishi.


“Ushamba tu, ndo nini sasa?  alisema mmoja wa wadau huku mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Dick akisema: “Msimuonee wivu mwenzenu, anakula bata zake na nyie hamjakatazwa.”
 
Dida alipoulizwa kuhusu kujianika hivyo alisema, hizo ni ishu zake binafsi na wapenzi wake wanapenda kuona kila anachokifanya, ndiyo maana anawawekea kwenye blogu yake.

Thursday, May 30, 2013

"SITAKI KUSIKIA NYIMBO ZA NGWEA ZIKIPIGWA CLOUDS FM..WAO NDO WALIOMFANYA AANZE KUVUTA BANGI ILI KUONDOA MAWAZO"...P FUNK


Muda mfupi uliopita djchoka amepokea simu kutoka kwa Producer mkongwe hapa bongo anayejulikana kwa jina la P Fuck Majani na kumuuomba aipokee msg hii hapa chini na kuwaomba watanzania walijue hili na baadae atatoa barua rasmi.