Kutokana na muda mrefu sana kuhangaika kupata mtoto bila mafanikio bibie Khloe Kardashian na mumewe Basketballer LAMAR ODOM inasemekana sasa miracle imetokea na wanatarajia kupata mtoto baada ya kusemekana kuwa TV Star huyo ana UJAUZITO tayari.
Maneno haya yametoka kwenye Notorious Website MediaTakeOut.com. Wanandoa hawa walikua wazi kabisa kuhusu Maisha yao na tatizo la kupata mtoto la mwanadada huyo kwenye kipindi cha kifamilia ambacho ndio kikubwa kuliko vyote na kina watazamaji wengi sana kuliko reality shows nyingine nchini marekani, Keeping UP with The Kardashians.
Habari hizi ziletea kuongezeka kwa ujauzito ndani ya familia ya Kardashian and Jenner ambapo KIMKardashian na KANYE WEST nao wakiwa wanategemea mtoto hivi karibuni.