Star wa miondoko ya R&B kutoka America, mwanadada Alicia Keys alikuwa ni miongoni mwa wasanii ambao walipata shavu la kutumbuiza kwenye sherehe za kumuapisha Rais Barack Hussein Obama.
Alicia aliimba wimbo wake wa ''Girl On Fire'' na kuubadilisha kwa kuimba ''Obama's on Fire'' jambo ambalo liliwafurahisha watu wengi ambao walihudhuria sherehe hizo.