Star kutoka Hollywood Beyonce, amemnunulia mama yake mzazi Tina Knowles jumba la kifahari ambalo limemgharimu kiasi cha zaidi ya dolla za kimarekani $5.8 Million. Jumba hilo ambalo lipo katika mji wa Houston ni kubwa sana na lina vitu vingi ambavyo hata huwezi kufikiria kama huyo mama atakuwa kama anavitumia.
Check picha zaidi za jumba lenyewe hapa chini....