Pages

Friday, February 1, 2013

[Audio] Hii Ndiyo Ngoma Mpya Kutoka Kundi La Destiny's Child...

Kama unakumbuka kuwa lile kundi la Destiny's Child ambalo linawaunganisha wadada watatu ambao ni Kelly Rowland, Beyonce na Michelle Williams. Kundi hilo ambalo lilipotea kwa kipindi kirefu na kila mmoja kufanya kazi zake binafsi sasa limerudi na kuungana tena na kufanya tena kazi pamoja.
       Habari kamili kutoka kundi hilo ni kuwa limeshatoa track yao mpya inayoitwa Nuclear ambayo pia ni moja ya track ambazo zitakuwa ndani ya album yao mpya iitwayo Love Songs ambayo itatoka mwishoni mwa mwezi huu.
Sikiliza na pia unaweza ku-download hapo chini...http://www.hulkshare.com/

Jay-Z Na Beyonce Wamnunulia Blue Ivy Carter Mdoli Wenye Thamani Ya $80,000 ...

Katika kusheherekea tarehe yake ya kuzaliwa... The power couple [Jay-Z & Beyonce] wamnunulia Blue Ivy Cartermdoli wenye thamani ya dola za kimarekani 80,000... Damn!!
    Mdoli huyo mwenye thamani hiyo, akiwa ametengenezwa na kupambwa sehemu kubwa kwa almasi, alinunuliwa na wanandoa hawa kama zawadi kwa Blue ambaye ametimiza mwaka mmoja jumatatu iliyopita toka kuzaliwa kwake.
    Barbie Doll amekuwa ni sehemu tu ya furaha hii, kwani pia Jay-Z na Beyonce wamemuandalia mtoto wao sherehe kubwa Blue Ivy ambayo inagharimu pauni za kiingereza 60,000 na cake yake ya birthday yenye thamani ya pauni 1,500 za kiingereza. Jay-Z na Beyonce wameripotiwa kutokuwa na tatizo katika kumfanyia mtoto wao huyo chochote kitakachoweka alama katika maisha yake yote ambapo kwa sasa wanatambulika duniani kama ma-star wanaolipwa hela nyingi pamoja katika mahusiano yao. Jay-Z Na Beyonce wanalipwa dola za kimarekani 78 milioni kwa mwaka.Jay-Z na Beyonce wamekuwa kwenye maandalizi haya ya kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa mtoto wao kwa wiki kadhaa sasa... just to make the best of it.

[Audio] Brand New: Naj Ft Ngwea - NAJ

Mwanamuziki wa kizazi kipya maarufu kama Naj ambae alitamba na baadhi ya ngoma zake ikiwemo ile aliyofanya naMr. Blue a.k.a Bayser iliyokuwa inaitwa Dont Let Me Go sasa ametoa track yake nyingine mpya ambayo inaitwa 'NAJ'na akiwa ameshirikiana na Ngwea.
Sikiliza na ku-download hapo chini... Enjoy!http://www.hulkshare.com/

Justin Bieber Aonesha Makalio Yake Hadharani...

Je? Ni kwa sababu ya bangi ambazo imeripotiwa Justin kuvuta sana??
        Pop & R&B Star Justin Bieber amewashangaza mashabiki wake walioshindwa kutafsiri nini chanzo cha haya yote anayoyafanya sasa, hasa baada ya kutupia picha inayomuonesha kwa upande nyuma akiwa ameshusha nguo yake akiwa na lengo la kuonesha makalio yake.
       Bieber alitupia picha hiyo kwenye mtandao wa picha wa Instagram na baadae kuifuta, lakini ilionekana kuchukuliwa tayari maana iliendelea kuzagaa katika mitandao tofauti.Mwimbaji huyo ambaye sasa amefikisha umri wa utu uzima, amefanya hivi na kuwashtua wengi ambao walikuwa bado wanashangaa picha ya Bieber aliyokuwa akichoma kilevi aina ya bangi kwenye chumba cha hotel akiwa na washkaji zake akiwemo rapper Lil Twist.
Kwa haya matukio mawili ya haraka haraka unaweza kujiuliza ni bangi?? au ni umri, hela zinazopelekea kuwa huru kufanya chochote?!!...

Stella Mwangi [STL] Aeleza Sababu Ya Yeye Kukata Nywele Zake...

 Mwanamuziki mwenye asili ya Kenya na mkazi wa nchini NorwayStella Mwangi au maarufu kama STL ambae pia anafanya vizuri katika industry ya muziki akitamba na ngoma zake kama Haba Haba, Lookie Lookie, Hoola Hoop na nyingine nyingi ametoa sababu ya kukata nywele zake.STL amefunguka kuhusiana na sababu ya yeye kukata nywele zake na kusema kuwa marehemu Baba yake ambaye alifariki mwaka jana January alimwambia kuwa, yeye ni mzuri hivyo hana sababu ya kumfanya afiche kichwa chake.
       STL pia aliongeza kwa kusema kuwa hiyo ni njia moja wapo ambayo inaonyesha kuwa anakuwa kimuziki kwa sababu mwanamuziki inambidi abadilike.

Beyonce and jay Z on street


Beyonce and her hubby Sean Carter were spotted hand in hand at a street in St. Bartz 

Chris Brown having fun soaking up the hot desert sun


Chris Brown and his boo Karrueche had fun soaking up the hot desert sun as they kicked it in Dubai this past weekend. The two were spotted rolling around the desert in a four wheeler as well as spending time on a private yacht.
Earlier in the week, Chris performed in front of thousands at the Dubai Festival City Concert Arena.
“Look at me now…”