Pages

Friday, February 1, 2013

[Audio] Hii Ndiyo Ngoma Mpya Kutoka Kundi La Destiny's Child...

Kama unakumbuka kuwa lile kundi la Destiny's Child ambalo linawaunganisha wadada watatu ambao ni Kelly Rowland, Beyonce na Michelle Williams. Kundi hilo ambalo lilipotea kwa kipindi kirefu na kila mmoja kufanya kazi zake binafsi sasa limerudi na kuungana tena na kufanya tena kazi pamoja.
       Habari kamili kutoka kundi hilo ni kuwa limeshatoa track yao mpya inayoitwa Nuclear ambayo pia ni moja ya track ambazo zitakuwa ndani ya album yao mpya iitwayo Love Songs ambayo itatoka mwishoni mwa mwezi huu.
Sikiliza na pia unaweza ku-download hapo chini...http://www.hulkshare.com/