Pages

Friday, February 1, 2013

Stella Mwangi [STL] Aeleza Sababu Ya Yeye Kukata Nywele Zake...

 Mwanamuziki mwenye asili ya Kenya na mkazi wa nchini NorwayStella Mwangi au maarufu kama STL ambae pia anafanya vizuri katika industry ya muziki akitamba na ngoma zake kama Haba Haba, Lookie Lookie, Hoola Hoop na nyingine nyingi ametoa sababu ya kukata nywele zake.STL amefunguka kuhusiana na sababu ya yeye kukata nywele zake na kusema kuwa marehemu Baba yake ambaye alifariki mwaka jana January alimwambia kuwa, yeye ni mzuri hivyo hana sababu ya kumfanya afiche kichwa chake.
       STL pia aliongeza kwa kusema kuwa hiyo ni njia moja wapo ambayo inaonyesha kuwa anakuwa kimuziki kwa sababu mwanamuziki inambidi abadilike.