Pages

Monday, July 15, 2013

Huyu ndiye model wa Tanzania aliyepata dili ya kutangaza nguo na viatu vya kampuni ya Adidas.



Jina lake anaitwa Danny David ni Mwanamitindo wa kume toka Tanzania na mwanamitindo pekee toka Tanzania alipata nafasi ya kufanya kazi ya kutangaza nguo na viatu vya kampuni kubwa ya Adidas tawi la Afrika ya kusini. 

Alianza kuonekana kwenye fashion mwaka 2012 kwenye maonesho ya Swahili Fashion Week chini ya mwanamitindo maarufu nchini Mustapha Hasanali, ameshiriki kuonesha mavazi kwenye Harusi fashion week iliyofanyika chini ya mbunifu wa mavazi Ally Rehmutula na pia alishawahi kushiriki na kushinda kwenye mashindano ya wanamitindo ya Maridadi model search yaliyofanyika hapa Tanzania.

Danny ni mwanasheria kitaaluma na ana degree ya sharia toka chuo cha Tumaini Iringa


Katika interview tuliyofanya naye hivi karibuni Danny amesema pamoja na kuwa mwanamitindo anamipango ya kuwa muigizaji kwani ni kitu alichokuwa anapenda kukifanya tangu utotoni.


WEMA: SIACHI MKOROGO HADI MADUKA YAFUNGWE

THE big boss wa The Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu ametundika mtandaoni picha zinazoonesha mapaja yake jinsi yalivyoharibika na kuweka michirizi ambapo alipoulizwa na shushushu wetu kulikoni, alisema kuwa hataacha mkorogo hadi maduka yafungwe. 
 
Wema katika pozi linaloonesha mapaja yake jinsi yalivyoharibika.
Baada ya staa huyo wa filamu za ‘kikwetukwetu’ kuulizwa na kujibu hivyo wikiendi iliyopita, alitundika picha nyingine kwenye ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa BBM zikimuoneshaakiwa nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar huku madhara ya mkorogo yakionekana waziwazi kwenye mwili wake.
..Mapaja ya mrembo huyo.
Baadhi ya marafiki zake walianza kujadili namna alivyoharibika na wengine kudai matumizi ya vipodozi vikali maarufu kwa jina la mkorogo ndiyo vimemfanya apasuke kiasi hicho.

Wema, baada ya kupokea maoni mengi juu ya picha hizo mengine yakiwa ni ya kejeli, aliwajibu kwa kuandika kuwa hataacha matumizi ya mkorogo hadi maduka yanayouza yafungwe.
Wema alipotafutwa na gazeti hili ili aweze kuweka wazi madai haya hakutoa ushirikiano kufuatia simu yake ya kiganjani kuita muda wote bila kupokelewa.

BINTI ABAKWA NA KUCHOMEKWA MIWA SEHEMU ZA SIRI




Mdada mwenye miaka 9  mkazi wa kijiji kimoja nchini brazil,mapema wikiendi  hii amebakwa karibu na shamba la miwa na watu wanaoaminika kuwa ni watumiaji wa madawa ya kulevya...

 Baada  ya  kumbaka, vijana  hao  walimchoma  na  miwa  katika  sehemu  zake  za  siri  na  kumsababishia  maumivu  makali  yaliyomfanya  apoteze  maisha...

JAMAA AFARIKI DUNIA WAKATI AKITAKA KUWEKA RECORD YA KUVUKA MTO KWA KUTUMIA NYWELE ZAKE 2:25 PM


Sailendra Nath Roy (50) kazaliwa India amefariki dunia wakati akitaka kuweka record ya kuvuka mto kwa kutumia nywere zake amabozo anakuwa amezifunga kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake. Lakini kwa bahati mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo nywele zilig'ang'ania kwenye waya huo na kujaribu kujinasua lakini ikashindikana.
Roy alianza vizuri
Hapa ndio baada ya nyele za Sailendra Nath Roy kunasa na kuaza kujaribu kujinasua
Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta
Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nyele zake kig'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele

video-18-tazama-laana-zinazofanyika


clip_image002[5] 
Haya zile raha zipatikanazo kwenye club nyingi za Usiku zinazidi kuvunja maadili. hii ni moja ya club ambazo huwaburudisha wateja wake kwa namna ya kipekee kabisa kitu ambacho wateja wake huifurahia huduma hiyo.
Tafadhali habari hii ni kwa wale walio zaidi ya umri wa miaka 18+ na ni hiari yako kuitazama kana hupendi basi usi bofye kitufe hapo chini  

TAHADHARI ISHATOLEWA

Saturday, July 6, 2013

SH. 500/- SASA ITAKUWA SARAFU BADALA YA NOTI ILI KUIFANYA ISICHAKAE HARAKA


KUTOKANA na kuchakaa haraka kwa noti ya shilingi 500 na kiwango chake kudumu kwenye mzunguko kwa miezi sita tu, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema inatarajia kubadili noti hiyo na kuwa ya sarafu.

Akizungumza na gazeti la Tanzania Daima juzi  kwenye viwanja vya maonesho ya kimataifa ya biashara, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Fedha, Abdul Dollah, alisema mabadiliko hayo yatafanyika hivi karibuni na sarafu hiyo itadumu kwenye mzunguuko kwa zaidi ya miaka 20 huku ikiwa na ubora wake.

Dollah alitaja sababu nyingine ya uchakavu huo ni kutokana na noti hiyo kushikwa na watu wengi kwenye mzunguko huku baadhi yao wakishindwa kuzihifadhi vizuri: 


“Tofauti na noti nyingine kama vile zile za sh 5,000 na 10,000 hizi utakuta mara nyingi uchakavu wake si kama ule wa sh 500 kwa sababu noti hizi watumiaji wake wengi ni wale wenye akaunti benki.”

PICHA CHAFU ZA MISS UNIZIK ZASAMBAA MITANDAONI....



Vituko  vya  mapenzi  ya  Tz kumbe  hata  nchi  za  nje  vipo..!!


Huyu  ni  denti  wa  chuo  kikuu  cha  UNIZIK  kilichoko Nigeria  ambaye  pia  ni miss  UNIZIK 2013/2014....


Mrembo  huyu  amekutana  na  balaa  hili  baada  ya  mpenzi  wake  kuzisambaza  picha  zake  za  utupu....


Taarifa  toka  chuoni  hapo  zinadai  kuwa,  wapenzi  hao  walizunguana  siku  kadhaa   baada  ya  mrembo  huyo  kulinyakua  taji  hilo  la  Umiss.....


Dharau  na  nyodo  zinadaiwa  kuwa  chanzo  cha  ugomvi  wao  uliomfanya  boyfriend  wake  alipe  kisasi  kwa  kumuanika  mtandaoni...