
Mdada mwenye miaka 9 mkazi wa kijiji kimoja nchini brazil,mapema wikiendi hii amebakwa karibu na shamba la miwa na watu wanaoaminika kuwa ni watumiaji wa madawa ya kulevya...

Baada ya kumbaka, vijana hao walimchoma na miwa katika sehemu zake za siri na kumsababishia maumivu makali yaliyomfanya apoteze maisha...