Drake ambae aafanya vyema na ngoma zake kama Take Care, The Motto, No Lie akiwa amempa shavu rapper 2 Chainz na ngoma hiyo kufanya vizuri katika media mbali mbali anatarajia kuachia ngoma yake hiyo mpya siku ya Tuzo Za Grammy ambayo imesikika kuwa ameipa jina la "Started From The Bottom’’.
Track hiyo ambayo imetengezwa na Producer ambae pia ni rafiki yake wa karibu Noah "40" Shebib.
Drake pia amekuwa nominated kwenye tuzo hizo ambazo hadi sasa zinatimiza Miaka 55 tangu kuanzishwa kwake.