Pages

Sunday, February 3, 2013

Frank Ocean Kutumbuiza Kwenye Tuzo Za Grammy...

Msanii wa miondoko ya RnB maarufu kama Frank Ocean, nae amechaguliwa katika list ya wasanii ambao watatumbuiza siku ya sherehe ya Tuzo za Grammy.
Tuzo hizo ambazo zitafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 10 February mwaka huu katika mji wa Staples Centre, Los Angeles pia zinamshirikisha Frank Ocean ambae amechaguliwa katika vipengele sita vya kuwania tuzo hizo ikiwemo yaWimbo Bora wa Mwaka na Album Bora ya Mwaka.