Rapper kutoka Marekani, Nas na Damian "Jr. Gong" Marley ambae ni mtoto wa mwisho wa marehemu Bob Marley, wanatarajiwa kutua katika ardhi ya Tanzania ifikapo February 15 hadi 16.
Mastar hao ambao wapo katika ziara yao ambayo inajulikana kama Damian Marley-Nas Tour, wanatarjiwa kutua hapa nchini siku chache zijazo na kupiga show katika jiji la Arusha [A-City].