Pages

Friday, February 1, 2013

Kitale Kuvuta Jiko Jumapali Hii...


Msanii wa vichekesho wa hapa Bongo ambae pia ni mwanamuziki wa kizazi kipya, Kitale ambae habari kamili kutoka kwake ni kuwa msanii huyo kwa sasa ameamua kutangaza rasmi kuwa ameamua ''kuoa''.
Kitale ambae pia alikuwa ni rafiki wa karibu wa marehemu Sharo Milionea ameamua kufanya hivyo kwa sababu ya mikasa mingi aliopitia katika maisha yake, hivyo amejipanga vya kutosha kuhusiana na maamuzi hayo na kwamba atafunga ndoa hiyo jumapili hii.