Hii itakuwa ni ngoma mpya kutoka kwa Nikki Wa II ambayo ameshirikiana na Joh Makini & G-Nako ikiwa inaitwa ''Nje Ya Box''. Ngoma hii inatarajiwa kuachiwa kwenye masikio yako siku ya Valentine [14th feb] na ikiwa imetengenezwa na Producer Nahreel na mixing zimefanywa na mtu mzima Chizan Brain.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V
-
*1. VOA Sauti ya America *
www.voaswahili.com
*2. Vijimambo*
lukemusicfactory.blogspot.com
3 months ago