Rapper kutoka Compton, Marekani maarufu kama The Game ambae anafanya vizuri kwenye game ya muziki wa Hip Hop na kutamba na baadhi ya ngoma zake kadhaa ameongeza Tattoo kwenye mwili wake.
The Game amechora tattoo hizo kwenye tumbo lake ikiwa ameongeza baada ya zile alizokuwa nazo, upande mmoja ikiwa ni Album ya Dr. Dre "THE CHRONIC" ikiwa na sura ya Dr.
Upande wa pili, Game amechora picha ya Album yake ya kwanza, THE DOCUMENTARY iliyotoka mwaka 2005.
During that time, Game ali-tweet kwenye mtandao wa twitter na kusema anapata maumivu kwa kuchora tattoo hizo ila akikumbuka jinsi Album hiyo ya Dr. Dre ilivyofanya kwenye jiji lao, anaendelea kuvumilia maumivu hayo.