Ukweli ni kwamba bado hajachukua fomu ya kushiriki na wala hajawa na mpango wa kwenda BBA 2013 kwa sababu ana mipango mingi ikiwemo kufungua ofisi yake mpya.
Lakini kwa uapnde mwingine wa Wema anasema anafurahi kusikia watu wakimuongelea hivyo kwa sababu wameonyesha kumuamini kwa kumuona anaweza kuingia BBA, anachosisitiza ni kwamba aliwahi kuwaza kwenda BBA lakini hajawa na uhakika kuhusu yeye kushiriki.