Pages

Tuesday, April 9, 2013

Akon Ampongeza Rais Uhuru Kenyatta .... Ona Alichoandika Hapa ...


Mwanamuziki nyota kutoka nchini Marekani, Akon amempongeza Raisi wa KenyaUhuru Kenyatta katika siku hii ya kihistoria ya nchi hiyo.
Rais Uhuru ambae anaapishwa leo huko Kenya, amechaguliwa kwa demokrasia kama Rais wa awamu ya nne nchini humo ...
Akon aliandika ''Congratulations Uhuru Kenyatta on your new presidency. The world is proud of Kenya and its peaceful…''
Ona zaidi hapa chini :